Wednesday, September 11, 2013

Makamu wa Rais afungua maonesho ya Nyaraka ya Kitaifa ya Kumbukumbu za Oman jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipewa zawadi wakati alipoyazindua rasmi maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika leo Sept 09-2013 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati alipokuwa akiyazindua rasmi maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika leo Sept 09-2013 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika leo Sept 09-2013 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia nyaraka za aina kumbukumbu mbalimbali kwenye maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman mara baada ya kufungua maonesho hayo leo Sept 09-2013 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa maonesho ya kumbukumbu za nyaraka ya kitaifa za Oman mara baada ya kufungua maonesho hayo leo Sept 09-2013 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.(Picha zote na OMR)

Thursday, September 5, 2013

Uzinduzi wa Top Model, City Sports & Lounge jijini Dar es Salaam

Mwanamitindo, Easterina Albert, akipozi kwa picha kabla ya uzinduzi wa mashindano ya Top Model, ukumbi wa City Sports & Lounge usiku wa kuamkia leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwanamitindo, Axsaritha Vedastus akiwa katika pozi maalum.
Mwanamitindo, Angel Adrian, akipozi kwa picha kabla ya uzinduzi wa mashindano ya Top Model, ukumbi wa City Sports & Lounge usiku wa kuamkia leo. 
Mwanamitindo Darline Mmary, akiwa katika pozi.
Mwanamitindo Cecilia Emmanuel, akiwa katika pozi.
Mwanamitindo, Catherine Mabula, akiwa katika pozi.
Wanamitindo kutoka kushoto, Agel Adrian, Catherine Mabula, Easterina Albert, Axsaritha Vedastus, Darline Mmary na Cecilia Emmanuel, wakipozi kwa picha ya pamoja wakati wa uzinduzi huo.

Viongozi wa Kamati ya Top Model, wakimsikilza Mwenyskiti maandalizi ya mashindano hayo, Jackson Kalikumtim katika uznuzi huo.
Viongozi wa Kamati ya Top Model, wakimsikilza Mwenyskiti maandalizi ya mashindano hayo, Jackson Kalikumtim katika uznuzi huo.
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Asia Idarous, akizungumza katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Top Models, Jackson Kalikumtima, akizungumza wakati wa uzinduzi huo.

Mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano ya kumsaka Mwanamitindo Bora nchini (Tanzania Top Model), Asia Idarous, akibonyeza kitufe cha rimoti ikiwa ni ishara ya kuzindua mashindano hayo katika Ukumbi wa Mgahawa wa City Sports & Lounge, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya mashindano hayo, Jackson Kalikuntima.
Mwanamitindo Axsaritha Vesastus, akipita kwa mbwembwe mbele ya hadhira kuonesha moja ya mavazi.

Mwanamitindo Cecilia akipozi wakati akipita kwenye uzinduzi huo.
 
Axsaritha Vesastus, akipita na na moja ya mavazi kutokea.
Angel Adrian akipita akiwa amevaa gauni la kutokea.
Wanamitindo kutoka kushoto, Angel Adrian, Catherine Mabula, Easterina Albert, Axsaritha Vedastus, Darline Mmary na Cecilia Emmanuel, wakipozi kwa picha ya pamoja wakati wa uzinduzi huo.

Tuesday, September 3, 2013

Mwenge kuwasili na kukimbizwa jijini Dar es Salaam kesho

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ziara ya Mwenge wa Uhuru, unaowasili na kupokelewa pia kukimbizwa kesho asubuhi, jijini ambapo utawasili saa 2 na nusu na kupokelewa Uwanja wa Ndege wa Zamani, ukitokea mkoani wa Pwani. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ziara ya Mwenge wa Uhuru, unaowasili na kupokelewa pia kukimbizwa kesho asubuhi, jijini ambapo utawasili na kupokelewa Uwanja wa Ndege wa Zamani, ukitokea mkoani Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ziara ya Mwenge wa Uhuru, unaowasili na kupokelewa pia kukimbizwa kesho asubuhi, jijini ambapo utawasili na kupokelewa Uwanja wa Ndege wa Zamani, ukitokea mkoani Pwani. Wapili kushoto ni Ofisa Elimu Mkoa, Raymond Mapunda.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, alipokuwa akizungumza nao leo, kuhusu ziara ya Mwenge, unaowasili na kupokelewa kesho asubuhi, Uwanja wa Ndege wa Zamani, ukitokea Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Ofisa Elimu Mkoa, Raymond Mapunda.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ziara ya Mwenge wa Uhuru, unaowasili na kupokelewa pia kukimbizwa kesho asubuhi, jijini ambapo utawasili na kupokelewa Uwanja wa Ndege wa Zamani, ukitokea mkoani Pwani. Kulia ni Ofisa Elimu Mkoa, Raymond Mapunda.
Baadhi ya Maofisa wa Kamati ya Mapokezi ya Mwenge ya Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika mkutano huo na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu ziara ya Mwenge, unaowasili na kupokelewa kesho asubuhi, Uwanja wa Ndege wa Zamani, ukitokea Mkoa wa Pwani.