Wadau kama nilivyowaandikia mwanzo kwamba tulikuwa Rwanda
kwa ajili ya kutoa tuzo zinzoitwa Rwanda Movies
Awards, hawa jamaa wako makini sana katika swala zima tuzo hii
mi kumfanya msanii haweze kutengeneza kazi nzuri ili apate tuzo maana tuzo ndio
kipimo cha msanii kujua uwezo wake umefika wapi, tuzo zenyewe ndizo hizo hapo
juu kama mnavyoziona wadau wa tasnia ya filamu Afrika wacha tuone mambo
yalivyokuwa..
Maandalizi yakifanyika kwa mrembo wetu Dada Irene Uwoya
kabla ya kwenda sehemu ya tukio..
Hapa tukiwa Serena Hotel ya Rwanda lilipofanyika tukio
ilo la utoaji wa tuzo kubwa zinazofanyika kila mwaka..
JB
JB na Uwoya kwenye pozi..
The Greatest nikiajiandaa kuelekea
ukumbini.
Jb akiwa pamoja na Uwoya ndani ya Land
Cruser..
The Greatest pamoja na King Majuto pia wakiwa ndani ya
Land Cruser hakuna kubanana ni wawili wawili tu, jamaa walitupa eshima kubwa
sana ..
Tukiwasili kwenye ukumbi
wa SERENA
HOTEL..
Tukielekea sehemu ya tukio..
Watu walikuwa ni wengi sana si unacheki mwenyewe bana
mimi wala sina la kusema yani watu wa Rwanda wanawapa sapoti kubwa sana wasanii
wao wa Nchi yao ili ni lakuigwa na nyinyi ndugu zetu
Watanzania..
JB alikuwa wa kwanza kuingia
ukumbini..
King Majuto akiingia ndani ya
ukumbi.
Wadada wa Kinyarwanda walikuwa ni
wakumwaga..
Irene Uwoya naye akiingia kwa mbwembwe nyingi
sana
The Greatest nilikuwa wa mwisho
kuingia..
Mambo yakiendelea..
Huyu dada wa kulia yeye alichukua tuzo ya msanii
anayependwa kuliko wasanii wote Rwanda..
Mmoja wa wasanii wakubwa wa Rwanda ni huyu jamaa mwenye
tai nyekundu yeye alichukua tuzo ya msanii anyependwa kwa upande wa
wanaume..
Baadhi ya wasanii wa Rwanda..
Anaitwa Jackson ni Mwenyekiti wa tuzo
hizo..
Watu walikuwa wengi sana..
Mwenyeji wetu huyo wa Rwanda yeye ni mwanajeshi alipewa
jukumu la kutulinda..
Tuko makini..
Kambarage toka kampuni ya Steps pia
alikuwepo..
Majuto akiongea machache..
Ratiba zikiendelea..
Ulifika muda wa The Greatest kutoa
Tuzo..
Msanii bora wa kike
ndiyo huyo hapo wadau..
The Greatetst nikimkabidhi tuzo mwandada huyo aliyeshinda
kuwa msanii bora wa kike..
Nikiongea machache..
Jb pia akiongea machache na
yeye..
JB akikabidhi tuzo..
ulifika muda wa Uwoya kwenda kutoa
tuzo..
Akisubili muhusika kufika...
Akimkabidhi tuzo msanii bora wa
kiume..
Msanii wa kiume
anayependwa Rwanda akielekea kuchukua Tuzo yake..
The Gtreatest nikimpa hongera
jamaa..
Akikabidhiwa Tuzo
yake..
Akishukuru watu
waliompigia kura..
Mmoja wa Warembo wa Rwanda naye akishukuru watu
waliompigia kura..
Warembo wa Rwanda..
Hili kombe ni kwa ajili ya Filamu Bora ya
Mwaka..
Wakishangilia kwa ushindi
walioupata, hawa ni baadhi ya washiriki wa movie hiyo
walioshinda.
Picha ya kumbukumbu.
Irene Uwoya akiojiwa mchache na waandishi wa
habari..
Huyu Mama alikuwa ananifuta viatu kwa nguo zake uku
akilia kwa uchungu baada ya kuniona kwakweli hawa watu wa Rwanda wana upendo
mkubwa sana kwa wasanii..
Mdau wangu akilia kwa furaha..
Mambo yalikwisha na watu kuendelea na mambo mengine hivyo
ndivyo mambo yalivyokuwa...