Saturday, March 9, 2013
MICHUANO YA NSSF CUP 2013 YAZINDULIWA RASMI LEO

Waziri wa Kazi na
Ajira, Gaudensia Kabaka akipa mpira wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya NSSF
Media Cup uliofanyika kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo.
(Picha na Habari Mseto Blog)
Waziri wa Kazi
na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya NSSF

Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Ramadhan Dau na Mwenyekiti wa Bodi, Abubakar Rajabu.
Mkurugenzi Mkuu
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau akizungumza wakati
wa uzinduzi wa mashindano ya NSSF leo.
Waziri wa Kazi
na Ajira, Gaudensia Kabaka akikagua timu ya Changamoto kabla ya pambano lao na
timu ya Habari Zanzibar. Changamoto iliwavua ubingwa wa michuano hiyo mabingwa
watetezi wa michuano hiyo timu ya Habari Zanzibar kwa kuitandika
3-0.
Waamuzi wa mchezo wa ufunguzi wakisalimiana na
mgeni rasmi Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia
Kabaka kabla ya mchezo.
Waziri wa Kazi
na Ajira, Gaudensia Kabaka akisalimiana na wachezaji wa Habari
Zanzibar.
Golikipa wa Habari Zanzibar akipatiwa matibabu
baada ya kuumia.
Kocha wa timu ya Changamoto, Mawazo Lusonza
akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko.
Waziri wa Kazi
na Ajira, Gaudensia Kabaka (katikati) akifuatilia mchezo wa netiboli kati ya
NSSF na Mlimani Tv, katika mchezo huo NSSF ilishinda 46-1 Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau na
Mwenyekiti wa Bodi, Abubakar Rajabu.
Meneja Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Juma Kintu
akitoa maelekezo kwa Ofisa Uhusiano Kinongozi wa NSSF, Eunice Chiume wakati wa
ufunguzi wa michuano hiyo.
Beki wa timu ya Changamoto, Emmanuel Balele
akiruka juu kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo
wa wa ufunguzi wa mashindano ya NSSF Media Cup dhidi ya NSSF uliofanyika leo
kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. Changamoto imeshinda
3-0
Mshambuliaji wa timya Habari Zanzibar, Amour
Mohamed akimtoka beki wa Changamoto, John Robert
Kiungo wa timu ya Changamoto, Andrew Faustin
akitafuta mbinu za kumtoka mshambuliaji wa Habari Zanzibar, Thani
Mfamau.

No comments:
Post a Comment