WWW.DOROTHY.BLOGSPOT.COM
Thursday, March 7, 2013
MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA KUHUSU KUVAMIWA NA KUJERUHIWA KWA ABSALOM KIBANDA
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Naibu Kamishna (DCP), Suleimani Kova, akizungumza na waandishi habari jana kuhusu tukio la kuvamiwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda, aliye vamiwa na kujeruiwa usiku wa kuamkia jana Jijini Dar es salaam.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa nje ya wodi ya mifupa (MOI) Mhimbili kumjulia hali mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom Kibanda
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Freeman Mbowe akimpa pole mwenyekiti wa jukwaa la wahariri na mhariri mtendaji wa gazeti la Mtanzania Absalom Kibanda katika taasisi ya mifupa ya Mhimbili (MOI)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment