Wadau tulipata bahati ya kwenda kutembelea
Kigali Genocide
Memorial katika ziara yetu Nchini
Rwanda kwakweli tumejifunza vitu vingi sana Watanzania
tupendane na tueshimiane tusiwe na mambo ya udini wala ukabila maana vita ni
kitu kibaya sana usikie tu kwa wenzako na sio nchini kwako tudumishe amani
tuliyokuwanayo Watanzania, ukifika hapa ndio utajua ubaya wa vita embu tucheki
mambo yalivyokuwa tulipotembelea maeneo haya ya kumbukumbu uliyosababishwa na
vita vya ukabila..
Trafiki aliyekuwa akituongoza kwenye msafara wetu jamani
uko tulikuwa kama viongozi wa Nchi niu mwendo wa eskoti ya police yani
wanyarwanda wanajua maana ya msanii ni nani maana tulipewa eshima kubwa sana
nchini humo
Tukiwasili maeneo ya kumbukumbu na huo ndio msafara wetu
wadau..
The Greatest na King Majuto..
Tukisalimiana na baadhi ya viongozi wa kampuni ya
Steps...
Irene Uwoya
akisalimiana na Jay toka kampuni ya Steps...
The Greatest nikiteta kitu na Irene
Uwoya.
Hii ni sinema
iliyotengenezwa na Steps iliyofanyika nchini Rwanda ilizinduliwa rasmi nchini
humo siku ya Rwanda Film Awards ilikuwa inzungumzia mambo ya
Gnocide...
The Greatest
Tukielekea kwenye makumbusho..
Hapa tukipata maelekezo toka kwa wenyeji wetu kabla ya
zoezi kuanza..
Baada ya kupata maelekezo hayo tulianza kwenda eneo la
kwanza ambalo kuna maiti zilizokaushwa na madawa kwa ajili ya makumbusho ya
kuwaambia Wanyarwanda kwamba vita sio kitu
kizuri...
Hapa ndio sehemu yenyewe yenye maiti
hizo..
Tukipata maelezo toka kwa mtaalam wa sehemu
hiyo..
Mambo yakiendelea...
Mwanzo kabisa zilikuwaga zipo wazi lakini baada ya
kuwaona Wanyarwanda wengi wakienda kutizama walikuwa wanalia sana na kuzimia
wakaamua kuzifunika na mashuka , wadau hizi ni
maiti.
Tukiweka mashada kama ishara ya upendo na kuwaombea kwa
Mungu wapumzike kwa amani..
Jb akiweka mashada..
King Majuto naye akiweka
mashada..
The Greatest pia niliweka
mashada
Irene Uwoya..
Tukielekea maeneo mengine
ya makumbusho.
Hapa tukipata maelezo jinsi vita vya wenyewe kwa wenyewe
vya ukabila jinsi vilivyoanza..
Picha mbalimbali za matukio
yaliyotokea..
Vita ni mbaya sana.
Watoto wadogo wengi walikufa kwenye vita hivyo ni simanzi
kubwa sana wadau..
Baadhi ya mafuvu binadamu yaliyosababishwa na vita
hivyo
Nikisoma baadhi ya
kumbukumbu..
Tukijiandaa kuondoka
Mapaparazi hawakuwa nyuma kunioji niliyoyaona katika
makumbusho hayo
No comments:
Post a Comment