Wednesday, March 27, 2013

SHEREHE ZA UZINDUZI WA UKUMBI WA MIKUTANO WA KISASA WA MWALIMU JULIUS NYERERE ULIOFANYWA NA RAIS WA CHINA X1 JINPING

 



 Kikundi cha sanaa cha JKT Mgulani kikitumbuiza wakati wa sherehe hizo
               Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kimejengwa kwa msaada wa China kwa gharama ya dola za Marekani mil. 15
 Sehemu ya ndani ya ukumbi huo ikiwa imepambwa na Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere
                                                               JWTZ Sanaa ikitumbiza
 Rais wa China  akiondoka baada ya kukabidhi kituo hicho kwa Rais Jakaya Kikwete
                        Ali Kiwanga (katikati) akiwa na marafiki zake wakati wa sherehe hizo
 Wageni waalikwa wakiangalia picha mbalimbali za kumbukumbu ndani ya kituo hicho
                            Ali Kiwanga (wa pili kushoto) akiwa na marafiki zake wakati wa hafla hiyo
                         Ridhiwani Kikwete (kulia) akiwa na  marafiki zake wakati wa sherehe hizo

No comments:

Post a Comment