HAPPY BIRTHDAY YA IRENE UWOYA NCHINI CYPRUS MIMI KAMA MMILIKI WA BLOG HII NAKUTAKIA MAFANIKIO MAZURI KATIKA MAISHA YAKO NAMI NIPO NYUMA YAKO KIMAOMBI NA KWA KILA UKIFANYACHO KAZI
HAPPY BIRTHDAY YA IRENE UWOYA NCHINI CYPRUS
Msanii nguli wa
kike nchini Irene Uwoya amefanya Birtday
party nyumbani kwake nchini Cyprus ya kutimiza miaka 21, Uwoya ameniambia
anashukuru kufikisha umri aliofikia na anamshukuru mungu kwa kumfikisha umri huo
vilevile bila kuwasahau wazazi wake waliomlea,Mume wake Hamad Ndikumana na
wasanii wenzake kwa ujumla vile vile anawatakia Heri ya Mwaka mpya wenye
mafanikio wasanii wenzake na wadau wote wa filam za kibongo na wapenzi wake wote
wanaopenda kazi zake.Mimi kama THE GREATEST
nakupongeza kwa kufikisha Umri huo,HONGERA
Irene Uwoya akikata keki kusheherekea kutimiza
miaka 21 nyumbani kwake Nchini Cyprus
Akiwa makini
kabisa katika kukata keki
Akipelekewa
shampagne ili aifungue kuweka baraka katika sherehe hiyoShampagne
zilifunguliwa watu wakapiga kelele kumtakia mafanikio mema kwa kutimiza miaka
21
Baadhi ya watu
walioalikwa katika sherehe hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Irene Uwoya
Picha ya
kumbukumbu na mwalikwa
Irene Uwoya na mgeni wake
Irene Uwoya akiwa na mtoto wake wa
kufikia
Mambo ya maakuli
jamani,Dj akipata msosi kabla ajaporomosha mamboWatu wakipata
menu
Wageni waalikwa
wakipata misosi ya nguvu ndani ya party hiyo
Mambo ya misosi
yakiendelea.....
Menu ilikuwa si
mchezo jamani,Dada alijiandaa vilivyo
Picha ya pamoja
na waalikwa wote waliohudhuria sherehe hiyo wadau mtakuwa mnajiuliza mumewe yuko
wapi?Mumewe alikuwa nje ya mji katika majukumu ya kikazi si unajua soccer tena
leo huku kesho kule
Baada ya mambo
yote uliwadia muda wa kusakata dansi kama kawaida yake mtoto huyu hakusita
kufungua muziki alijitoma mbele na watu wengine wakajiunga naye
No comments:
Post a Comment