Bango likionesha idadi ya
Watanzania wakati wa uzinduzi wa matokeo ya awali ya Sensa ya Watu na Makazi
uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es
Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akibofya kwenye kompyuta kuzindua rasmi matokeo ya awali ya Sensa ya Watu na Makazi kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Idadi ya Watanzania kwa sasa ni 44,929,002.
Kikundi cha uhamasishaji kutoka wilayani Temeke, kikishangilia kwa furaha wakati wa uzinduzi huo.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa hafla hiyo
Rais Jakaya Kikwete (kulia), Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (katikati) na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi wakicheka kwa furaha baada ya uzinduzi huo.
Kamishina wa Sensa, akipongezwa na viongozi wa serikali kwa kufanikisha sensa hiyo
Baadhi ya viongozi wa vyama na serikali wakiwa katika hafla hiyo
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa wa Shirika la Idadi ya Watu Duniani akihutubia wakati wa hafla hiyo
Sasa ni wakati wa kuimba utenzi wa kusifu sensa hiyo
Wanahabari wakijadiliana jambo wakati wa uzinduzi huo. Kutoka kushoto ni Traiphone Mweji, Adamu Gire, Chris Mfinanga na Antony Siame.
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wakishangilia huku wakiwa na mabango ya kumpongeza Rais Jakaya Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete (katikati waliokaa) akiwa na viongozi wengine wa Serikali pamoja na watumishi wa Ofisi za Taifa za Takwimu za Tanzania Bara na visiwani wakati wa uzinduzi wa matokeo ya awali ya Sensa ya Watu na Makazi kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete
akiteta na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim
Lipumba wakati wa hafla hiyo.

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akimpongeza Rais Kikwete kwa kufanikisha sensa hiyo |
No comments:
Post a Comment